Ni Ya haraka sana,Tunahitaji Cashier wa Ofisi Yetu Je ni wewe tunamtafuta? au unarafiki unaweza anaye weza ?mpatie taarifa Hii muhimu sasa;
SIFA:
Awe na uwezo wa kutumia kumputer kwa mambo ya office
Awe na uwezo wa kuongea English
Awe na uwezo wa ujuzi walau basic accounting knowledge
Awe msichana kuaniza miaka 20 na kuendelea.
Wasiliana nasi Mapema sana this wiki Tuma CV yako kwa email:info@mikono.biz
Piga simu 0717109362
Mshahara ni MKubwa kulingana na level ya uwezo wa kufanya kazi.
No comments:
Post a Comment